Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Frank Nyabundege (kushoto) akiongea na wafanyakazi wa benki hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyofanyika katika makao makuu ya Benki hiyo yaliyopo Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi
wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Frank Nyabundege (wa
pili kulia) akikata keki ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Wanawake
duniani. Waliomzunguka ni baadhi ya wafanyakazi wanawake wa benki hiyo.
Mkurugenzi
wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Frank Nyabundege
(kushoto) akigonganisha glasi na Afia Sigge ambaye ni kaimu mkurugenzi
wa maendeleo ya biashara wa benki hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya
siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyofanyika katika makao makuu ya Benki hiyo yaliyopo Dar es Salaam jana
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...