WATU 13 wamefariki Dunia na wengine 32 kujeruhiwa baada ya  baada ya basi lenye namba za usajili T 732 ATH mali ya Kampuni ya AHEED  linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Tanga kugongana na lori lenye namba IT 2816.

Akizungumza na Michuzi TV, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Muslim  amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo katika eneo la Malela wilayani Mvomero mkoani hapa.

Amesema majeruhi wanapatiwa matibabu katika  hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...