Viongozi wa kimila wa Wamasai 'Laigwanan' wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye eneo maalum la mikutano la Marya ambalo ni sehemu ya kufanyia ibada za mila na bunge linalojadili na kutatua migogoro ya Jamii ya Wamasai lililopo kwenye viwanja vya Chuo cha Ufundi Arusha, Mkoani Arusha, Machi 10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifanyiwa maombi maalum na viongozi wa kimila wa Wamasai 'Laigwanan' wakati alipozungumza nao kwenye eneo maalum la mikutano la Marya ambalo ni sehemu ya kufanyia ibada za mila na bunge linalojadili na kutatua migogoro ya Jamii ya Wamasai lililopo kwenye viwanja vya Chuo cha Ufundi Arusha, Machi 10, 2022. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivishwa vazi la heshima na viongozi wa kimila wa Wamasai wakati alipozungumza nao kwenye eneo maalum la mikutano la Marya ambalo ni sehemu ya kufanyia ibada za mila na bunge alinalojadili na kutatua migogoro ya Jamii ya Wamasai lililopo kwenye viwanja vya Chuo cha Ufundi Arusha, Machi 10, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...