Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kusini Unguja Mzee Haji Abdalla wakati alipomtembelea kumjulia hali Kijijini kwake Jambiani Kibigija Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 10 Machi, 2022.
Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi leo tarehe 10 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid kabla ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa huo katika ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi leo tarehe 10 Machi 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid kabla ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa huo katika ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi leo tarehe 10 Machi 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Chuo cha Veta Makunduchi kwa ajili ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa huo leo tarehe 10 Machi, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...