*Meridianbet Tumekuwekea Odds Bora Kwenye Michezo Hii!
BURUDANI ya soka ipo kwenye michezo ya kimataifa, baadhi ya mataifa yameshafuzu kuchezaKombe la
Dunia 2022 huku mengine
yakikwama njiani. Wikiendi hii tunaendelea tulipoishia awali, jamvi lako
litanogeshwa na Odds Bora za Meridianbet!!
Barani
Afrika, Cameroon
wataingia uwanjani kuchuana na Algeria. Haya ni mataifa ambayo yanafanya vizuri kwenye soka la Afrika,
ni damu mpya kwenye vikosi vya sasa na hivyo, atakayefanikiwa kuipata nafasi ya
kwenda Qatar, hakika atakua na kila sababu ya kujivunia. Meridianbet
tumekuwekea Odds ya 2.25 kwa Cameroon.
Unakumbuka
fainali ya AfCon 2021? Naam, ni Misri vs
Senegal katika
mchezo mwingine wa kuiwania tiketi ya kucheza Kombe la Dunia mwaka huu. Mo
Salah atalipiza kisasi kwa Sadio Mane au wasenegali wataendeleza ubabe kwa
mafarao wa misri? Usiipoteze nafasi ya kutengeneza faida ndani ya Meridianbet, ifuate Odds
ya 2.65 kwa Misri.
Kwenye
soka la Amerika ya Kusini, Argentina
watawaalika Venezuela
katika muendelezo wa kuitengeneza nafasi ya kwenda Qatar. 2021 umekuwa ni mwaka
wa neema kwa Argentina baada ya kutwaa taji barani humo ikiwa pia, ni taji la
kwanza kwa Lionel Messi akiwa na timu ya Taifa. Meridianbet
tumekuwekea Odds ya 1.14 kwa Argentina.
Canada nao
watakua na kibarua cha kupambana vikali na Jamaica katika mchezo mwingine wa kuisaka tiketi ya kucheza Kombe la
Dunia 2022. Huu ni mchezo mwingine unaoweza kukupa faida kubwa, ukichagua
kubashiri na Meridianbet.
Odds ya 1.26 ipo kwa Canada!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...