Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, akizungumza na Balozi wa Switzerland nchini Tanzania Bw. Didier Chassot huko ofisini kwa Makamu Migombani Mjini Zanzibar . Kulia kwa Balozi ni Ofisa wa Ubalozi huo anayeshughulikia masuala ya Siasa Leonor Bottaro. (Picha na Kitengo cha Habari Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Switzerland nchini Taanzania Bw. Didier Chassot aliyefika ofisini kwa Makamu Migombani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya mazungumzo ya ushirikiano.. (Picha na Kitengo cha Habari Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, (kulia) akizungumza na Balozi wa Switzerland nchini Taanzania Bw. Didier Chassot huko ofisini kwa Makamu Migombani Mjini Zanzibar leo .. (Picha na Kitengo cha Habari Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...