Mkuu wa mkoa wa Geita, bi Rosemary Sinyamule  (wa pili kushoto) akimpongeza mshindi wa promosheni ya Vodacom Tusua Mapene, Justine Kinyamonga (anayeonesha funguo za gari) mkazi wa Shilabela mjini Geita, mara baada ya kukabidhiwa gari aina ya Suzuki S Presso aliyojishindia kupitia promosheni hiyo. Wengine kushoto ni Meneja Mauzo Mwandamizi  (Alimwakilisha Mkuu wa Kanda ya ziwa, Ayubu Kalufya), Ahmed Akbarali na familia ya Kinyamonga.  Hafla hiyo ilifanyika kwenye viwanja vya Shilabela, Geita



Mkuu wa mkoa wa Geita, Rosemary Sinyamule  (wanne kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa promosheni ya Shangwe Lipo pale pale waliojishindia Smart Tv  kutoka mkoa huo, Wa pili kushoto ni Meneja Mauzo Mwandamizi (Alimwakilisha Mkuu wa Kanda ya Ziwa,  Ayubu Kalufya ), Ahmed Akbarali. Hafla hiyo ilifanyika kwenye viwanja vya Shilabela, Geita



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...