Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akilihutubia Bunge la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) mbele ya Wajumbe wa Umoja huo katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo Machi 22, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia
Ackson (Mb), akilihutubia Bunge la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) mbele
ya Wajumbe wa Umoja huo katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo
Machi 22, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini
Indonesia.
Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakiwa katika Mkutano wa 144 wa Umoja huo wakisikiliza hotuba mbalimbali za Maspika zikiwasilishwa leo Machi 22, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...