Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kilichopokea na kupitisha taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho kimefanyika leo Machi 24, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa IPU.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kilichopokea na kupitisha taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho kimefanyika leo Machi 24, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa IPU. Kuanzia kushoto ni Mhe. Dkt. Joseph Mhagama (Mjumbe wa Baraza la Uongozi), Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Ramadhani Dau, Mjumbe wa IPU, Mhe. Elibariki Kingu na Mjumbe wa Baraza la Uongozi, Mhe. Esther Matiko

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kilichopokea na kupitisha taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho kimefanyika leo Machi 24, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa IPU. Wapili kulia ni Rais wa Umoja huo, Ndg. Duarte Pacheco

Wajumbe wa Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakiwa katika kikao cha kupokea na kupitisha taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho kimefanyika leo Machi 24, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa IPU.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...