Mtoa huduma wa Vodacom Tanzania Foundation Walbarga Genes Massawe akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya sekondari Azania namna ya kutumia huduma ya  E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali iliyoandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na African Child Projects ambayo itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).
Wanafunzi wa shule ya sekondari Azania wakisikiliza mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E-Fahamu kutoka Vodacom Tanzania Foundation

Mtoa huduma wa Vodacom Tanzania, Salma Juma Yusuph akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya sekondari Jangwani namna ya kutumia huduma ya  E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali iliyoandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na African Child Projects ambayo itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).
Wanafunzi wa shule ya sekondari Jangwani wakifurahia mara baada ya kumaliza mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E-Fahamu Vodacom Tanzania Foundation

Mtoa huduma wa Vodacom Tanzania Foundation Walbarga Genes Massawe (wapili kulia) akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya sekondari Tambaza namna ya kutumia huduma ya  E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali iliyoandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na African Child Projects ambayo itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).
Wanafunzi wa shule ya sekondari Tambaza wakisikiliza mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E-Fahamu Vodacom Tanzania Foundation


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...