Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ,Dkt. Ernest Ibenzi akizungumza na wafanyakazi wa Vodacom kanda ya kati kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Kushoto ni meneja mauzo wa Vodacom Mkoa wa Dodoma, Balikulije Mchome.
Msimamizi wa maduka ya Vodacom kanda ya kati, Suzan Mwaipopo (katikati ) akiwapa zawadi watoto mapacha waliozaliwa usiku wa kuamkia maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yaliofanyika jana, Kushoto ni mzazi wa mapacha hao, Neema Brayson na kulia mfanyakazi wa Vodacom, Halima Bandawe
Meneja mauzo wa Vodacom Tanzania PLC Mkoa wa Dodoma, Balikulije Mchome (wapili kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Vodacom na wauguzi wa hospitali ya rufaa mkoa wa Dodoma wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walitoa misaada mbalimbali kwenye wodi ya wazazi. Watatu kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo,Dkt. Ernest Ibenzi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...