Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni,
Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akiwa na Viongozi mbalimbali wa Jimbo
hilo, kukagua shughuli za maendeleo ya jimbo hilo, Mjini Unguja,
Zanzibar, leo Machi 17, 2022. Kushoto ni Katibu wa CCM, Jimbo la
Kikwajuni, Faridi Abdalla Hamad. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni,
Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akipokea dafu kutoka kwa muuza madafu
Juma Khamisi, wakati akiwa ziarani jimboni kwake kwa ajili ya kukagua
shughuli mbalimbali za maendeleo, leo Machi 17, 2022. Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni,
Mhandisi Hamad Masauni, akila dafu eneo la Majumba ya Mjerumani, Jimbo
la Kikwajuni, Mjini Unguja, Zanzibar, leo Machi 17, 2022, akiwa katika
ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo, jimboni humo. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...