Picha za Matukio mbalimbali wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia masuala ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) kukagua utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Uwekezaji katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro tarehe 14 Machi, 2022
Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Uwekezaji wa Mitaji ya Umma ikiwa katika ukaguzi wa Barabara ya Seneto hadi Kreta ya Ngorongoro inayojengwa kwa Kiwango cha tabaka gumu la mawe.

Naibu Kamishna wa NCAA (Uhifadhi, Utalii na Maendeleo ya Jamii) Dkt. Christopher Timbuka (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge (Uwekezaji wa Mitaji ya Umma) Mhe. Jerry Silaa (kushoto), wakati wa kamati hiyo ilipotembelea eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kukagua utekelezaji wa miradi ya uwekezaji. Katikati ni msajili wa Hazina (TR) Bw. Mgonya Benedicto.

Naibu Kamishna wa NCAA Dkt. Christopher Timbuka akitoa taarifa ya utekelezaji wa Majukumu ya NCAA mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia uwekezaji wa Mitaji ya Umma wakati ya ziara ya ya kamati hiyo kukagua utekelezaji wa miradi ya uwekezaji katika katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...