Ofisa Mkuu Idara ya Fedha Benki ya Exim, Bw Shani Kinswaga akitoa neno la shukrani kwa niaba ya uongozi wa benki hiyo kwa wageni waliohudhulia hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliyofanyika Hotel ya Serena jana ilihudhuriwa na wadau mbalimbali wa benki hiyo wakiwemo wateja na wafanyakazi wa benki hiyo.
Ofisa Mkuu Idara ya Fedha Benki ya Exim, Bw Shani Kinswaga (mbele), akiwa ameongozana na wageni wengine kupata futari wakati hafla ya futari iliyoadaliwa na Benki ya Exim kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliyofanyika Hotel ya Serena jana ilihudhuriwa na wadau mbalimbali wa benki hiyo wakiwemo wateja na wafanyakazi wa benki hiyo.
Sehemu ya wageni waalikwa pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Exim waliohudhulia hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam wakipata chakula kwenye hafla hiyo.
Mkuu wa Idara ya Mtandao wa Wateja wa Benki ya Exim, Agnes Kaganda akizungumza na wageni waliohudhulia hafla ya futari iliyoandaliwa na benki kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliyofanyika Hotel ya Serena jana ilihudhuriwa na wadau mbalimbali wa benki hiyo wakiwemo wateja na wafanyakazi wa benki hiyo.
Ofisa Mkuu Idara ya Fedha Benki ya Exim, Bw Shani Kinswaga (katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa benki hiyo pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo waliohudhuria hafla ya futari iliyoadaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...