Meneja Mafunzo wa kampuni ya kutengeneza simu ya Oppo Tanzania Farida Mwangosi (kushoto) akionyesha simu ya smartphone mpya ya OPPO RENO 7 baada ya uzinduzi wake uliofanyika leo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. OPPO RENO 7 inakuja na matoleo mawili, Toleo la 5G na toleo la 4G hii ni kuhakikisha kila mtanzania anapata kile anachokihitaji katika ulimwengu wa kitekinolojia. Kulia ni Meneja Mkazi Oppo Tanzania Lin Ke.
Meneja Mafunzo wa kampuni ya kutengeneza simu ya Oppo Tanzania Farida Mwangosi (kushoto) akionyesha simu ya smartphone mpya ya OPPO RENO 7 baada ya uzinduzi wake uliofanyika leo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. OPPO RENO 7 inakuja na matoleo mawili, Toleo la 5G na toleo la 4G hii ni kuhakikisha kila mtanzania anapata kile anachokihitaji katika ulimwengu wa kitekinolojia. Kulia ni Msimamizi wa Mauzo Oppo Tanzania Venance Chiwalala.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...