Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kwa njia ya video katika
Kazi na Wakuu wa Mikoa yote Tanzania Bara kuhusu Sensa ya Watu na
Makazi ya Mwaka 2022 akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili
22, 2022. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na baadhi ya Mawaziri, Makatibu
Wakuu, Makamisa wa Sensa na viongozi wakuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja ya vishikwambi
vitakavyotumika katika Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 baada ya
kukabidhiwa kishikwambi hicho na Kamişa wa Sensa, Anne Makinda (kulia)
wakatiu alipozungumza kwa njia ya video katika Kikao Kazi na Wakuu wa
Mikoa yote Tanzania Bara kuhusu Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022,
akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 22, 2022. Kikao hicho
pia kilihudhuriwa na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Makamisa wa
Sensa na viongozi wakuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...