


Wageni
mbalimbali wakielekea ukumbini kushuhudia uzinduzi wa wa filamu ya
Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York
nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022. Kikundi
cha Ngoma za asili kutoka Bagamoyo kikitumbuiza katika uzinduzi wa
filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum,
New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Wageni
mbalimbali mashuhuri waliohudhuria uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The
Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani
leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akitazama Filamu ya Royal Tour pamoja na Wageni mbalimbali mashuhuri New
York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...