
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katiliki Zanzibar Mhashamu Askofu Agustino Shao, alipowasili katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar, kuhudhuria Sherehe ya Jubilei ya miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Agustino Mweleli Shao Askofu, iliyofanyika katika uwanja huo leo 10-5-2022.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Maaskofu baada ya kuwasili katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Jubilei ya Miaka 25 ya Mhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao (kulia kwa Rais) iliyofanyika katika uwanja huo leo 10-5-2022.(Picha na Ikulu)

WAUMINI wa Kanisa Katoliki Zanzibar wakimsikiliza mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Jubilei ya Miaka 25 ya Askofu Mhashamo Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar leo 10-5-2022.(Picha na Ikulu)

WANAKWAYA wa Kanisa Katoliki Zanzibar wakiimba nyimbo maalumu wakati wa sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Muhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar leo 10-5-2022.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...