Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Wabunge walio katika Mapambano dhidi ya Rushwa (APNAC) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Mhe. Kapteni. George Mkuchika akichangia jambo wakati wa kikao cha majadiliano ya viongozi wa vyama vya hiari vya Wabunge yaliyoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tulia Ackson (Mb), leo Mei 11, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tulia Ackson (Mb), akiongoza kikao cha majadiliano na viongozi wa vyama vya hiari vya Wabunge leo Mei 11, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu na Kulia ni Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...