Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Vijana wakati wa kufunga mafunzo maalum ya Uzalendo yalioandaliwa na Chama cha CNDD-FDD katika mkoa wa Makamba, Burundi.
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na
Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD FDD Ndugu Reverien Ndikuriyo wakati wa
kufunga mafunzo maalum ya Uzalendo kwa Vijana Zaidi ya 500 vyalioandaliwa na Chama cha CNDD-FDD katika mkoa wa Makamba, Burundi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...