Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akiongoza mazoezi ya kutembea ya liyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni ahadi yake ya kushirikiana na Wananchi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi .[Picha na Ikulu] 25/06/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitoa hutuba yake baada ya kumalizika kwa Mazoezi ya kutembea yaliyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni utekelezaji wake ya kushiriki mazoezi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa kushirikiana na wananchi (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Mke wa Waziri Kiongozi Mstaafu Mama Asha Shamsi Nahodha.[Picha na Ikulu] 25/06/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiagana na Mke wa Makamo wa Kwanza wa Rais Mama Zainab Othman baada ya kumalizika kwa mazoezi ya Viungo yaliyoshirikisha Vikundi mbali mbali vya mazoezi yaliyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni utekelezaji wake kushiriki mazoezi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi .[Picha na Ikulu] 25/06/2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...