Mshindi wa Tigo chemsha Bongo akikabidhiwa hundi ya shilingi Millioni 10 baada ya kujibu maswali rahisi kuhusu Muziki na sasa ameibuka kidedea kwa kujipatia sh mil 10 na Kukabidhiwa na Meneja wa mauzo wa Tigo mkoa wa Mbeya, Ronald Richard pamoja na Nurdin Lugembe-Mtaalam huduma za ziada TigoJibu maswali mara kwa mara kuhusu muziki ujiwekee nafasi ya kushinda Tuma neno muziki kwenda 15571.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...