Rais wa Shirikisho la Soka TFF, Wallace Karia (kulia) akizungumza jambo na viongozi mbalimbali akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto (wa kwanza kutoka kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera (wapili kutoka kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa (wa tatu) na Mkurugenzi Mkuu wa NBC, Theobald Sabi.Kwenye katika hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC jana Juni 26, 2022 kwenye uwanja wa Sokoine, Mbeya.
























Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...