Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kazi mbalimbali za kijasiriamali zinazofanywa na wanufaika wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) katika maadhimisho ya kilele cha Mfuko huo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika kilele cha Sherehe ya miaka 25 ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Tuzo kwa Baadhi ya Wafadhili waliojitolea kuunga mkono Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) katika maadhimisho ya kilele cha Mfuko huo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Juni, 2022. Viongozi mbalimbali pamoja na Wanufaika wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Mfuko huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Juni, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa katika picha ya pamoja na Wake wa Viongozi mara baada ya maadhimisho ya miaka 25 ya Mfuko huo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Convention Center Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Juni, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...