Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam . Julai 21, 2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam . Julai 21, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...