Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wafanyakazi Madaktari na Wafamasia
Tanzania Dkt. Samweli Rweyemamu akizungumza na madaktari wa Tawi la Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa kikao cha kuhamasisha usajili wa wanachama
kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya madaktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha
Wafanyakazi Madaktari na Wafamasia Tanzania wakati wa kikao cha kuhamasisha
usajili wa wanachama wa chama hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Taasisi
hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa chama cha Madaktari
na Wafamasia Tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt.Godwin Sharau
akizungumza na madaktari wa Tawi hilo wakati wa kikao cha kuhamasisha usajili
wa wanachama kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo
iliyopo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...