MWENGE wa Uhuru ulimulika, Kukagua, Kutembelea, Kuweka mawe ya msingi na kuzindua Miradi mitano kwenye Sekta ya Elimu, Afya, Lishe, Maji na Maendeleo ya Jamii yenye thamani ya shilingi billion 1.3 Wilayani Rorya Juni 30, 2022
Mwenge wa Uhuru umeridhishwa Miradi yote 5. Shukran kwa ushirikiano wa Viongozi wote wa Wilaya ya Rorya.

Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mhe. Juma Chikoka akiangalia kibao cha jiwe la Msingi Mara baada ya Mwenge kuzindua Miradi Mitano katika Wilaya Rorya Mkoani Mara.
Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mhe. Juma Chikoka akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Mwenge kuzindua miradi mitano katika Wilaya ya Rorya Mkoani Mara.
Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mhe. Juma Chikoka akiwa na Kipngozi wa Mbio za Mwenge katika Wilaya ya Rorya Mkoani Mara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...