Ibada ya misa ya safari ya mwisho ya mpendwa wetu Stella Kombe iliyofanyika siku ya Jumamosi July 15, 2022 Beall Funeral Home na baadae kupumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makabuli ya  Resurrection yaliyopo Clinton, Maryland. Picha na Vijimambo Blog
Padri akiongoza Ibada ya misa ya safari ya mwisho ya mpendwa wetu Stella Kombe iliyofanyika siku ya Jumamosi July 15, 2022 Beall Funeral Home, Bowie,  na baadae kupumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makabuli ya  Resurrection yaliyopo Clinton, Maryland
Mtoto wa marehemu akisoma somo la kwanza katika  Ibada ya misa ya safari ya mwisho ya mpendwa mama yake Stella Kombe iliyofanyika siku ya Jumamosi July 15, 2022 Beall Funeral Home, Bowie,  na baadae kupumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makabuli ya  Resurrection yaliyopo Clinton, Maryland
Kutoka kushoto ni mama mkwe wa marehemu, mtoto na mume wa marehemu Isaya Mwaipopo wakiwa katika Ibada ya misa ya safari ya mwisho ya mpendwa wao Stella Kombe iliyofanyika siku ya Jumamosi July 15, 2022 Beall Funeral Home, Bowie,  na baadae kupumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makaburi ya  Resurrection yaliyopo Clinton, Maryland
Kutoka kushoto ni baba mzazi wa marehemu George Kombe, Bibi na Grace Kombe mke wa George Kombe ambaye ndiye mama mlezi wa marehemu. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Picha juu na chini ni familia ya marehemu wakiongea jambo na wasifu wa marehemu enzi ya uhai wake.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...