Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camilius Wambura ametaja vipaumbele vyake ikiwemo suala la kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kwamba atahakikisha matukio mbalimbali ya kihalifu yanaendelea kudhibitiwa.
IGP Wambura amesema hayo leo muda mfupi baada ya kuapishwa na kuwa Mkuu wa Jeshi hilo na kisha kuripoti Makao Makuu ya Polisi jijini Dodoma na kukabidhiwa rasmi ofisi na mtangulizi wake aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Balozi IGP Simon Sirro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...