Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022. nchini Hispania. Pichani pamoja nae ni Katibu Wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka (aliyesimama Kwanza Kushoto) Pamoja na Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira.(Aliyevaa Miwani)




Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira alipokwenda kusaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana akiteta na Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro De Oliveira alipokwenda kusaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022


(Picha Zote na Fahadi Siraji/CCM Makao Makuu)


…………..

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana amesaini kitabu cha maombolezo tarehe 12 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Komredi José Eduardo dos Santos, kilichotokea Ijumaa, Julai 8, 2022. nchini Hispania.

Ndg. Abdulrahman Kinana Ameongozana na Katibu Wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...