Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),Theobald Sabi akiwa ndani
ya tawi la benki akihudumia wateja,kwenye Maonesho ya 46 ya Biashara ya
Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),Theobald Sabi
akizungumza ndani ya tawi la benki hiyo kwenye Maonesho ya 46 ya
Biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere
Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Taifa yaMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya
Biashara (NBC),Theobald Sabi akizungumza ndani ya tawi la benki na
watendaji wake,kwenye Maonesho ya 46 ya Biashara ya Sabasaba
yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa yaMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
Taifa ya Biashara (NBC),Theobald Sabi akizungumza na mmoja wa
wajasiriamali waliopo ndani ya banda la benki hiyo kwenye Maonesho ya 46
ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu
Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya Taifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara
(NBC),Theobald Sabi akizungumza na waandishi wa Habari.
*************
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya
Biashara (NBC),Theobald Sabi,amesema benki hiyo inaendelea kushirikiana
na wajasiriamali ili kukuza uchumi wa taifa kwa kuwapa elimu na mafunzo
ya namna ya kutoa huduma bora kuwapatia mitaji ili waweze kushindana
katika soko. Akizungumza katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Sabasaba
yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es
Salaaam,Sabi ameeleza kuwa wao kama taasisi ya kifedha wanashirikiana na
wajasiriamali kwa kuhakikisha wanapata nafasi ya kutangaza biashara
zao.
"Sisi kama benki tunasisitiza sehemu ya maonyesho
yetu,tunashirikiana na wafanyabiashara kutangaza biashara zao na katika
banda hili tumewapa nafasi za kuweka bidhaa zao,ambazo wanazalisha hapa
nchini na sisi kama taasisi ya fedha tunashirikiana na wajasiriamali kwa
kuwapa mikopo kama mitaji kuendeleza shughuli zao"alisema Sabi
Sabi
ameeleza kuwa biashara ya kisasa inahitaji ujuzi na matumizi ya
teknolojia katika uzalishaji,benki hiyo inalitambua hilo na inaendelea
kuwajengea uwezo wajasiriamali washindane katika soko katika bara la
Afrika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...