
*Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!
*Sloti ya Sticky 777
SLOTI ya Sticky 777
imetengenezwa katika mfumo wa sloti za zamani. Inapambwa kwa alama zilizopangwa
vizuri zikiwa na rangi ang’avu zinazomsaidia mchezaji kuona vizuri ushindi na
thamani ya alama hizo wakati wote wa mchezo. Sanjari na hilo, Sloti ya Sticky 777
inamfumo wa muziki ambao unaongeza burudani kwa mchezaji wa sloti hii.
Tunapozungumzia umuhimu wa alama,
tunamaanisha ushindi mkubwa! Alama kubwa zaidi kwenye sloti hii ni Sticky 777 ambayo
inamalipo makubwa kwenye mchezo wa kawaida. Ukizipata alama za Sticky 777 tatu, nne
au tano, utapata Gurudumu la Bahati. Huu ni
mchezo ambao unaweza kukupa faida mara 1000 zaidi ya dau lako.
Mchezo huu pia una alama nyingine kama
vile almasi, kengele na matunda kama
vile tikiti maji, nanasi, limao na mengine mengi. Unaweza kupata ushindi
mkubwa kama alama 3 au zaidi ya hizi zitakusanywa. Katika mistari 10 ya
ushindi, unaweza kushinda almasi na kengele zenye thamani kubwa lakini pia,
unaweza kushinda miti ya matunda maarufu.
Zungusha Gurudumu la Bahati Kwenye Sloti ya Sticky 777
Sloti ya Sticky
777
inauwezo wa kurudia kuzungusha gurudumu, sifa hii inatokea pale ambapo wilds
mbili zitatokea kwenye reels. Baadhi ya bonasi za gurudumu la bahati
zinapatikana katika mfumu huu; alama tatu zitakupeleka katika gurudumu la
bahati la hatua ya kwanza ambapo utaweza kupata faida mara 50 zaidi ya dau
lako. Alama 4 zitakupeleka katika gurudumu la bahati la hatua ya 2 ambapo
utaweza kupata faida mara 125 ya dau lako. Alama 5 zitakupeleka kwenye hatua ya
3 ambapo utaweza kupata faida mara 1000 zaidi ya dau lako.
Mchezaji
ataweza kusogea kwenye hatua inayofuata endapo gudurumu litasimama likiwa na
mishale katika hatua mojawapo kati ya hatua mbili. Kusonga mbele hakutoi zawadi
ya pesa lakini ni mwanzo wa kusogea kwenye hatua zilizo na zawadi kubwa zaidi.
Sloti ya Sticky
777
kupitia Meridianbet ina machaguo mbalimbali.
Unaweza kuchagua ubashiri ambapo mchezaji ataweza kupata faida mara mbili kwa
kubashiri rangi za kadi. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet ili uwe miongoni mwa mabingwa
wanaoburudika kupitia Sloti ya Sticky
777
sambamba na michezo mingine mingi!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...