Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya Eid- Adh’haa kwenye Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam kushiriki katika Swala na Baraza la EiD-ADH’HAA kitaifa , Julai 10, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt.Abubakar Zubeir bin Ally wakati alipowasili kwenye viwanja vya Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI uliopo Kinondoni mkoani Dar es salaam kushiriki katika Swala na Baraza la EiD-ADH’HAA kitaifa , Julai 10, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally (kushoto) baada ya kushiriki katika Swala na Baraza la EiD-ADH’HAA kitaifa kwenye Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam, Julai 10, 2022. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Dkt. Alhad Mussa Salum.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la EID – ADH’ HAA baada ya kushiriki katika swala iliyofanyika kitaifa kwenye Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam, Julai 10, 2022.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI uliopo Kinondoni mkoani Dar es salaam kushiriki katika Swala na Baraza la EiD-ADH’HAA kitaifa , Julai 10, 2022. Kushoto ni Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...