Afisa wa Bunge, Rehema Kipera akiwaelezea wanafunzi wa Shule ya Sekondari Vianzi ya Mkuranga kuhusiana na Mpangilio wa ukaaji ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati wanafunzi hao walipotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.



Afisa wa Bunge, Elizabeth Malogo akimuonyesha mwananchi aliyetembelea Banda la Ofisi ya Bunge Siwa ya mfano katika Maonyesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea Jijini Dar es Salaam



Afisa wa Bunge akimuonyesha mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Vianzi ya Mkuranga viongozi ambao wamewahi kushika nafasi ya Naibu Spika tangu uhuru hadi sasa wakati wanafunzi wa shule hiyo walipotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.



Afisa wa Bunge, Carol Moshi akiwaelezea wanafunzi wa Shule ya Sekondari Vianzi ya Mkuranga kuhusiana na baadhi ya mavazi mbalimbali ya viongozi wa Bunge wakati wanafunzi hao walipotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.



Afisa wa Bunge, Elieka Saanya akiwaelezea wanafunzi wa Shule ya Sekondari Vianzi ya Mkuranga aina za Kamati za Kudumu za Bunge na majukumu wakati wanafunzi hao walipotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.

PICHA NA OFISI YA BUNGE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...