Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari akisaini kitabu cha wageni katika banda la Mamlaka hiyo muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Viwanja vya Maonesho ya Biashara-SabaSaba barabara ya Kilwa, Temeke jijini Dar es salaam. TCRA inashiriki Maonesho hayo kwa kutoa elimu kwa watumiaji huduma za Mawasiliano. Picha: TCRA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Dkt Jabiri Bakari akikagua banda la Mamlaka kwenye viwanja vya maonesho ya biashara SabaSaba jijini Dar es salaam
Wananchi wakiingia na kutoka kwenye banda la TCRA katika Maonesho ya Viwanda na Biashara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam kupata elimu,huduma na msaada wa huduma za Mawasiliano. Picha: TCRA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...