Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi. Shamim Mdee akitoa elimu kwa Viongozi wa Chama cha wanafunzi wanaosoma masomo ya Ugavi na Ununuzi(PSA-TIA) walipotembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Meneja Tehama wa wa Bodi ya Wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Grace Mselle akijibu maswali yaliyokuwa yanaulizwa na Viongozi wa Chama cha wanafunzi wanaosoma masomo ya Ugavi na Ununuzi(PSA-TIA) walipotembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa PSPTB, Faraja Mgulambwa akitoa kwa Irene Mulokozi pamoja na Happy Mkunda maelezo ya namna wanafunzi wanavyoweza kijisajili kwa ajili ya kufanya mitihani ya Bodi walipotembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Meneja Tehama wa wa Bodi ya Wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Grace Mselle akitoa maelezo kwa Renatus Mbawe kuhusu namna ya kijisajili na Bodi alipotembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Bi.Flora Fifi(wa pili kulia) akizungumza na wafanyakazi wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa PSPTB, Faraja Mgulambwa akitoa kwa Joseph Lucky kuhusu gharama zinazotakiwa ili kufanya mitihani ya Bodi pamoja na Usajili alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Bodi ya Wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha wanafunzi wanaosoma masomo ya Ugavi na Ununuzi katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (PSA-TIA) walipotembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Bodi ya Wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye Banda la Bodi hiyo leo kwenye Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...