Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi. Shamim Mdee akitoa maelezo kwa wananchi walipotembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia , yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Afisa Ununuzi kutoka PSPTB, Gabriel Mwakipesile akitoa maelezo kwa vijana kuhusu namna mitihani ya Bodi inavyofanyika walipotembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia , yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. .
Afisa Ununuzi kutoka PSPTB, Faraja Mgulambwa akitoa kwa Hamza Chingunje maelezo ya namna wanafunzi wanavyoweza kijisajili kwa ajili ya kufanya mitihani ya Bodi walipotembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia , yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. .
Mwakilishi wa Dawati la Huduma kwa wateja kutoka PSPTB, Jeremiah Mshiba akitoa maelezo kwa mzee Seba Lubinza kuhusu namna ya kijisajili na Bodi alipotembelea Banda la Bodi hiyo alipotembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia , yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi. Shamim Mdee
Afisa Ununuzi kutoka PSPTB, Faraja Mgulambwa akitoa kwa Jimmy Mosha maelezo ya namna wanafunzi wanavyoweza kijisajili kwa ajili ya kufanya mitihani ya Bodi walipotembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia , yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Profesa Alfred Sife (kushoto) akikabidhiwa zawadi kutoka Bodi ya PSPTB na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi. Shamim Mdee mara baada ya kutembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia , yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Kaimu Makamu Mkuu - Taaluma Chuo Kikuu cha ushirika Moshi (MoCU) Profesa John Safari (kushoto) akikabidhiwa zawadi kutoka Bodi ya PSPTB na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi. Shamim Mdee mara baada ya kutembelea Banda la Bodi hiyo leo kwenye maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia , yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Huduma zikiendelea kutolewa kwenye banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kutoa elimu kwenye maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia , yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na wakuu wa taasisi mbalimbali mara baada ya kufungua Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye banda la Bodi hiyo wakati wa Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...