
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Saud Hilal Al Shidhani.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 6-7-2022.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Saud Hilal Al Shidhani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 6-7-2022.(Picha na Ikulu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...