Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Tanzania wakati alipowasili Madinat Al Bahr Hotel kufungua kikao cha siku mbili cha zarura cha Barala hilo.[Picha na Ikulu] 21/07/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichoanza leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar.[Picha na Ikulu] 21/07/2022.

Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Jaji Francis Mutungi alipokuwa akitoa salamu zake wakati wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar.[Picha na Ikulu] 21/07/2022.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Leila Burhan Ngozi akijitambulisha katika ufunguzi wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar.[Picha na Ikulu] 21/07/2022.

Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa nchini wakiwa katika ufunguzi wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Barala hilo,kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar.[Picha na Ikulu] 21/07/2022.
Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ni miongoni mwa wajumbe wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar.[Picha na Ikulu] 21/07/2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Viongozi baada kufungua rasmi wa kikao cha zarura cha siku mbili cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichoanza leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar,(kushoto)Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Jaji Francis Mutungi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mhe.Christina Mndeme na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Juma Ali Khatib .[Picha na Ikulu] 21/07/2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...