RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh.Faki Ali Bakari.(hayupo pichani) alipofika nyumbani kwa Marehemu Fatma Ali Bakari Mwalimu wa Skuli ya Mahonda , kwa ajili ya kutoa mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu, aliyepata ajali ya kugongwa na gari katika barabara ya mahonda wakati akiwa katika harakati za maandalizi ya hafla ya ufunguzi wa madarasa mapya ya Skuli hiyo leo 20-7-2022.(Picha na Ikulu)
Home
HABARI
ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI ATOWA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU FATMA ALI BAKARI MWALIMU WA SKULI YA MAHONDA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...