Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia Ngoma ya Madundo alipowasili katika viwanja vya Ujenzi wa Mradi wa Soko la Wafanyabiashara Dunga, akiwa katika ziara yake Wilaya ya Kati Unguja leo 23-7-2022.(Picha na Ikulu.)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Ujenzi wa Soko kwa ajili ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali  wa Wilaya ya Kati Unguja linalojengwa Dunga,  kutoka kwa Mkurugenzi wa Baraza la Mji Wilaya ya Kati Unguja Ndg. Salum Mohammed, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzji huo, akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja leo 23-7-2022.(Picha na Ikulu.)

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein  Ali Mwinyi  akizungumza na Wananchi wa Dunga baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Soko  la Wafanyabiashara na Wajasiriamali  wa bidhaa mbalimbali katika Wilaya ya Kati Unguja akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 23-7-2022.(Picha na Ikulu.)
Wananchi wa Wilaya ya Kati Unguja wakimasikiliza Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Soko la Wafanyabiashara na Wajasiriamali Dunga Wilaya ya Kati Unguja, akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja leo 23-7-2022.(Picha na Ikulu.)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Tangi la Maji Safi na Salama kutoka kwa Mshauri Elekezi na Msimamizi wa Mradi huo  kutoka Kampuni ya Nimeta Const Mhandisi Heri Sanga , alipotembelea Mradi huo na kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi huo, unaojengwa kwa Fedha za Uviko-19, akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja leo 23-7-2022.(Picha na Ikulu.)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...