"Baada ya ufungaji wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi yaliyofanyika Chuo Cha Mkwawa, Iringa nilipata nafasi kuzungumza na Maafisa Ardhi wa Mkoa wa Iringa na Manispaa ya Iringa. Lengo ni kujadili hali ya Kazi na kukumbushana Wajibu wa kila mmoja katika Utendaji."
Mhe. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
#KaziInaendelea #ArdhiYetuIringa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...