
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Malawi, Mhe. Dkt. Lazarus Chakwera walipokutana leo Julai 11, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu Jijini Lilongwe nchini Malawi.Mhe. Spika yupo nchini humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC – PF).

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Malawi, Mhe. Dkt. Lazarus Chakwera (katikati) na Spika wa Bunge la Malawi, Mhe. Catherine Gotani Hara (kulia) walipokutana leo Julai 11, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu Jijini Lilongwe nchini Malawi.
Mhe. Spika yupo nchini humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC – PF).

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC – PF) leo Julai 11, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu Jijini Lilongwe nchini Malawi.

Wajumbe wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC – PF) kutoka Bunge la Tanzania wakishiriki ufunguzi wa Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC – PF) leo Julai 11, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu Jijini Lilongwe nchini Malawi.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...