Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (meza kuu kushoto), akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camilius
Wambura (wanne kulia) na Viongozi wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi,
kuhusu masauala mbalimbali ya Shirika hilo, jijini Dodoma, leo. Kulia meza kuu
ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini, na Naibu Katibu Mkuu, Dkt.
Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (kushoto), akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne
Sagini, wakati wa Kikao cha Viongozi wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la
Polisi, kilichojadili masuala mbalimbali ya Shirika hilo, jijini Dodoma, leo. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (kushoto), akimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini
akizungumza na Viongozi wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi,
kuhusu masauala mbalimbali ya Shirika hilo, jijini Dodoma, leo. Kushoto ni
Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi na kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP
Camilius Wambura. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (wapili kushoto), na Naibu Waziri, Jumanne Sagini pamoja na viongozi
mbalimbali wakimsikiliza mwezeshaji alipokuwa anatoa mada kuhusu masuala
mbalimbali ya Shirika hilo, katika kikao kilichofanyika, jijini Dodoma
leo. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Dkt. Maduhu Kazi (kulia), akisalimiana na Kiongozi wa Shirika la Uzalishaji
Mali la Jeshi la Polisi, ACP Beatus Silla, baada ya kikao cha Shirika hilo kilichoongozwa
na Waziri wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Home
MATUKIO
WAZIRI MASAUNI AFANYA KIKAO NA IGP NA VIONGOZI WA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI YA JESHI LA POLISI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...