Na John Walter-Manyara

MKOA wa Manyara umechaguliwa kuwa mwenyeji wa siku ya maazimisho ya Idadi ya watu Duniani inayotarajiwa kufanyika Julai 20 mwaka huu wilayani  Hanang katika shule ya Msingi Katesh B.


Mkuu wa Mkoa wa Manyara Charles Makongoro Nyerere akizungumzia siku hiyo amewataka wafanyabiashara na wajasiriamali kutumia fursa hiyo kuuza na kutangaza bidhaa zao.


Nyerere amesema maadhimisho hayo yatakayofanyika kwa siku tatu kwa shughuli mbalimbali kufanyika, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa waziri mkuu Kassim Majaliwa.

Kauli mbiu ya Siku ya idadi ya watu dunani inabebwa na kauli mbiu isemayo 'Dunia ya watu Bilioni nane kuhimili wakati ujao ni fursa ya haki kwa wote,Shiriki sensa kwa maendeleo endelevu.'



 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...