Ulimwengu umebadilika sasa na watu wamegeukia fursa zilizopo mtandaoni. Simba, Yanga au timu yeyote ile inapocheza, watu wanaweza kufurahia mchezo huku wakiingiza hela kupitia sports betting. Kuna namna nyingine ya kupiga pesa yaani kupitia michezo ya sloti ile inayo patikana mtandaoni kwa inayo fahaika kama online casino na unachohitaji ni simu yako ya mkononi na intaneti.

Kama ulikuwa hujui, yale madubwi yanayowekwa mitaani na watu wanacheza kwa shilingi 200 kisha wanachagua wanyama kujaribu bahati yao ndio yanaitwa sloti. Sasa kuna sloti za mtandaoni kutoka kampuni ya kubashiri ya Sokabet ambapo unaweza cheza kuanzia shilingi 10 tu, na Sokabet wanatoa shilingi 7,777,777 kila wiki kwa watakaocheza kupitia promosheni ya slots marathon.

Promosheni hii inahusisha michezo zaidi ya 5000 iliyo ndani ya tovuti/app ya Sokabet.

Jinsi ya kucheza sloti ni rahisi sana, unabonyeza tu, tena unaweza kufanya mazoezi kwanza yaani ukacheza bila pesa kabisa (Free Play). Cha kufanya, ukiingia kwenye menyu ya Sloti utatakiwa uchague kucheza kwa pesa halisi au mchezo wa bure. Fanya hivyo uongeze uzoefu na kujiamini kisha uweke pesa ucheze ili kujiweka katika nafasi ya kushinda hicho kibunda.

Cha kufurahisha ni kwamba kiasi cha chini kabisa ni shilingi 500 na unarudishiwa (cashback) endapo utapoteza dau lako. Kwanini pesa hii ikukose? Piga pesa mtandaoni na online casino ya Sokabet ukiwa mahali popote bila kuhangaika.

Jisajili Sokabet na uendelee kujipigia mipunga kutoka online casino bora Tanzania. Piga simu namba 0746 983 630 kwa maelezo Zaidi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...