
*Sloti ya Forest Rock
JE,
unajua kuwa wanyama pori wanaweza kukuletea ushindi?. Ndio! Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet
yote hayo yanawezekana. Meridianbet
inakuletea sloti mpya yenye maudhui ya Rock ‘n’ Roll iliyotengenezwa na
watengenezaji maarufu wa sloti- Expanse Studio iitwayo Forest Rock.
Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye
kolamu 5 na mistari 15 ya ushindi. Kama ilivyoada kwenye Kasino
ya Mtandoni ya Meridianbet,
inakuhakikishia ushindi muda wote. Sloti hii pendwa ya Forest Rock ina alama
mbalimbali za wanyama pori wenye kukuletea faida kama vile Sungura
alievaa headphone, Paka mwitu anaepiga gitaa na Dubu akiwa kama
meneja, Simba akiwa ndiye msanii nyota na Tembo akiwa kama mpiga
ngoma. Sio hivyo tu, alama za Karata nazo zipo. Unasubiri nini kujiunga na
familia ya washindi ya Meridianbet?
Jiunge leo na ushinde.
Jinsi ya Kucheza
Sloti ya Forest Rock
Ni
rahisi sana kucheza sloti ya Forest
Rock, unachotakiwa kukifanya ni kuhakikisha unapata
alama tatu zenye kufanana ili ushinde. Kubwa zaidi ya yote ni pale utakapo pata
alama tatu zenye nembo ya mchezo wa Forest
Rock ambayo itakulipa hadi mara 20 ya dau uliloliweka. Sio hayo tu, Kasino
ya Mtandaoni ya Meridianbet inakupa fursa ya kupata
hadi mizunguko 20 ya bure.
Ukipata Jokeri tatu kwenye sloti hii utapewa mizunguko mingine zaidi. Sloti hii ya Forest Rock ina chaguo la kubashiri (Gambling option) ambalo linakupa fursa ya kuchagua kati ya kadi mbili ambazo ni Nyekundu na Nyeusi, uchague ipi itaanguka mezani na itakupa mara mbili ya faida uliyoipata. Cheza na Meridiabet upate bonasi ya kuanzia hadi shilingi 3,500 za kitanzania. Jiunge na familia ya mabingwa ya Meridianbet sasa!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...