RAIS Samia Suluhu Hassan apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi mbalimbali Wanaowakilisha nchi zao Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Japan hapa nchini Mhe. Yasushi Misawa katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Afrika Kusini hapa nchini Mhe. Noluthando Mayende- Malepe mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ufalme wa Ubelgiji hapa nchini Mhe. Peter Hyghebaert katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Ufalme wa Ubelgiji hapa nchini Mhe. Peter Hyghebaert mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Japan hapa nchini Mhe. Yasushi Misawa katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Japan hapa nchini Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan hapa nchini Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Uganda Kanali Mstaafu Fred Mwesigye katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Uganda Kanali Mstaafu Fred Mwesigye mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Uganda Kanali Mstaafu Fred Mwesigye mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini Mhe. Charlotta Ozaki Macias katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Ufalme wa Sweden hapa nchini Mhe. Charlotta Ozaki Macias mara baada ya kukabidhi Hati za Utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Ufalme wa Ubelgiji hapa nchini Mhe. Peter Hyghebaert mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Ufalme wa Ubelgiji hapa nchini Mhe. Peter Hyghebaert mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...