Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Ayatul Kursiyu na Kiongozi wa Masjid Nabawi Sheikh Ali Aboud,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo iliyoko katika mtaa wa Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo. 26-6-2022.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na hundi ya shilingi laki tano iliyotolewa Sadaka na Uongozi wa Masjid Nabawi, kwa ajili ya kusaidili shughuli za Kijamii, akimsikiliza Kiongozi wa Masjid hiyo Sheikh Ali Aboud, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 26-8-2022.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 26-8-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh Ali Mohammed Ali.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 26-8-2022.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Watoto baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nabawi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-8-2022.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...