
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Katibu Mkuu wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Martin Chungong wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Martin Chungong wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Spika wa Bunge la Zambia, Mhe. Nally Mutti wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada leo Agosti 26, 2022
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...